Mithali 21:20
Proverbs 21:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Katika nyumba ya mwenye hekima kuna akiba ya vyakula vizuri na mafuta, lakini mtu mpumbavu hutafuna vyote alivyo navyo.
Proverbs 21:20 in English
Proverbs 21:20 · Berean Standard Bible
Precious treasures and oil are in the dwelling of the wise, but a foolish man consumes them.
Context
18Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki,
nao wasio waaminifu kwa ajili ya wanyofu. 19Ni afadhali kuishi jangwani
kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. 20Katika nyumba ya mwenye hekima
kuna akiba ya vyakula vizuri na mafuta,
lakini mtu mpumbavu
hutafuna vyote alivyo navyo. 21Yeye afuatiaye haki na upendo
hupata uzima, mafanikio na heshima. 22Mtu mwenye hekima huushambulia mji wa wenye nguvu,
na kuangusha ngome wanazozitegemea.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.