Native Bible

Proverbs 21:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki, nao wasio waaminifu kwa ajili ya wanyofu.

Proverbs 21:18 in English

Proverbs 21:18 · Berean Standard Bible

The wicked become a ransom for the righteous, and the faithless for the upright.

Context

16Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu, hupumzika katika kundi la waliokufa. 17Mtu apendaye anasa atakuwa maskini, yeyote apendaye mvinyo na mafuta kamwe hatakuwa tajiri. 18Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki, nao wasio waaminifu kwa ajili ya wanyofu. 19Ni afadhali kuishi jangwani kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi. 20Katika nyumba ya mwenye hekima kuna akiba ya vyakula vizuri na mafuta, lakini mtu mpumbavu hutafuna vyote alivyo navyo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.