Native Bible

Proverbs 21:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu apendaye anasa atakuwa maskini, yeyote apendaye mvinyo na mafuta kamwe hatakuwa tajiri.

Proverbs 21:17 in English

Proverbs 21:17 · Berean Standard Bible

He who loves pleasure will become poor; the one who loves wine and oil will never be rich.

Context

15Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, bali kitisho kwa watenda mabaya. 16Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu, hupumzika katika kundi la waliokufa. 17Mtu apendaye anasa atakuwa maskini, yeyote apendaye mvinyo na mafuta kamwe hatakuwa tajiri. 18Waovu huwa fidia kwa ajili ya wenye haki, nao wasio waaminifu kwa ajili ya wanyofu. 19Ni afadhali kuishi jangwani kuliko kuishi na mke mgomvi na mkorofi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.