Native Bible

Proverbs 21:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, naye atawaangamiza waovu.

Proverbs 21:12 in English

Proverbs 21:12 · Berean Standard Bible

The Righteous One * considers the house of the wicked and brings the wicked to ruin.

Context

10Mtu mwovu hutamani sana ubaya, jirani yake hapati huruma kutoka kwake. 11Wakati mwenye mzaha ameadhibiwa, mjinga hupata hekima; wakati mtu mwenye hekima afundishwapo, hupata maarifa. 12Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, naye atawaangamiza waovu. 13Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, yeye pia atalia, wala hatajibiwa. 14Zawadi itolewayo kwa siri hutuliza hasira na rushwa iliyofichwa kwenye nguo hutuliza ghadhabu kali.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.