Native Bible

Proverbs 21:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati mwenye mzaha ameadhibiwa, mjinga hupata hekima; wakati mtu mwenye hekima afundishwapo, hupata maarifa.

Proverbs 21:11 in English

Proverbs 21:11 · Berean Standard Bible

When a mocker is punished, the simple gain wisdom; and when a wise man is instructed, he acquires knowledge.

Context

9Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba, kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. 10Mtu mwovu hutamani sana ubaya, jirani yake hapati huruma kutoka kwake. 11Wakati mwenye mzaha ameadhibiwa, mjinga hupata hekima; wakati mtu mwenye hekima afundishwapo, hupata maarifa. 12Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, naye atawaangamiza waovu. 13Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, yeye pia atalia, wala hatajibiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.