Native Bible

Proverbs 21:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, yeye pia atalia, wala hatajibiwa.

Proverbs 21:13 in English

Proverbs 21:13 · Berean Standard Bible

Whoever shuts his ears to the cry of the poor, he too shall cry out and receive no answer.

Context

11Wakati mwenye mzaha ameadhibiwa, mjinga hupata hekima; wakati mtu mwenye hekima afundishwapo, hupata maarifa. 12Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, naye atawaangamiza waovu. 13Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, yeye pia atalia, wala hatajibiwa. 14Zawadi itolewayo kwa siri hutuliza hasira na rushwa iliyofichwa kwenye nguo hutuliza ghadhabu kali. 15Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, bali kitisho kwa watenda mabaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.