Native Bible

Proverbs 21:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Zawadi itolewayo kwa siri hutuliza hasira na rushwa iliyofichwa kwenye nguo hutuliza ghadhabu kali.

Proverbs 21:14 in English

Proverbs 21:14 · Berean Standard Bible

A gift in secret soothes anger, and a covert bribe * pacifies great wrath.

Context

12Mwenye Haki huyajua yanayotendeka katika nyumba za waovu, naye atawaangamiza waovu. 13Mtu akiziba masikio asisikie kilio cha maskini, yeye pia atalia, wala hatajibiwa. 14Zawadi itolewayo kwa siri hutuliza hasira na rushwa iliyofichwa kwenye nguo hutuliza ghadhabu kali. 15Wakati haki imetendeka, huleta furaha kwa wenye haki, bali kitisho kwa watenda mabaya. 16Mtu anayepotea kutoka mapito ya ufahamu, hupumzika katika kundi la waliokufa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.