Native Bible

Proverbs 21:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba, kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi.

Proverbs 21:9 in English

Proverbs 21:9 · Berean Standard Bible

Better to live on a corner of the roof than to share a house with a quarrelsome wife.

Context

7Jeuri ya waovu itawaburuta mbali, kwa kuwa wanakataa kufanya yaliyo sawa. 8Njia ya mwenye hatia ni ya upotovu, bali tabia ya mtu asiye na hatia ni nyofu. 9Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba, kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. 10Mtu mwovu hutamani sana ubaya, jirani yake hapati huruma kutoka kwake. 11Wakati mwenye mzaha ameadhibiwa, mjinga hupata hekima; wakati mtu mwenye hekima afundishwapo, hupata maarifa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.