Native Bible

Proverbs 21:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njia ya mwenye hatia ni ya upotovu, bali tabia ya mtu asiye na hatia ni nyofu.

Proverbs 21:8 in English

Proverbs 21:8 · Berean Standard Bible

The way of a guilty man is crooked, but the conduct of the innocent is upright.

Context

6Mali iliyopatikana kwa ulimi wa uongo ni mvuke upitao upesi na mtego wa kufisha. 7Jeuri ya waovu itawaburuta mbali, kwa kuwa wanakataa kufanya yaliyo sawa. 8Njia ya mwenye hatia ni ya upotovu, bali tabia ya mtu asiye na hatia ni nyofu. 9Ni afadhali kuishi pembeni mwa paa la nyumba, kuliko kuishi nyumba moja na mke mgomvi. 10Mtu mwovu hutamani sana ubaya, jirani yake hapati huruma kutoka kwake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.