Native Bible

Proverbs 20:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni nani awezaye kusema, “Nimeuweka moyo wangu safi; mimi ni safi na sina dhambi?”

Proverbs 20:9 in English

Proverbs 20:9 · Berean Standard Bible

Who can say, “I have kept my heart pure; I am cleansed from my sin”?

Context

7Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama, wamebarikiwa watoto wake baada yake. 8Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha enzi kuhukumu, hupepeta ubaya wote kwa macho yake. 9Ni nani awezaye kusema, “Nimeuweka moyo wangu safi; mimi ni safi na sina dhambi?” 10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, Bwana huchukia vyote viwili. 11Hata mtoto hujulikana kwa matendo yake, kama tabia yake ni safi na adili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.