Mithali 20:10
Proverbs 20:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, Bwana huchukia vyote viwili.
Proverbs 20:10 in English
Proverbs 20:10 · Berean Standard Bible
Differing weights and unequal measures *— both are detestable to the LORD.
Context
8Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha enzi kuhukumu,
hupepeta ubaya wote kwa macho yake. 9Ni nani awezaye kusema, “Nimeuweka moyo wangu safi;
mimi ni safi na sina dhambi?” 10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti,
Bwana huchukia vyote viwili. 11Hata mtoto hujulikana kwa matendo yake,
kama tabia yake ni safi na adili. 12Masikio yasikiayo na macho yaonayo,
Bwana ndiye alivifanya vyote viwili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.