Native Bible

Proverbs 20:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Masikio yasikiayo na macho yaonayo, Bwana ndiye alivifanya vyote viwili.

Proverbs 20:12 in English

Proverbs 20:12 · Berean Standard Bible

Ears that hear and eyes that see— the LORD has made them both.

Context

10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti, Bwana huchukia vyote viwili. 11Hata mtoto hujulikana kwa matendo yake, kama tabia yake ni safi na adili. 12Masikio yasikiayo na macho yaonayo, Bwana ndiye alivifanya vyote viwili. 13Usiupende usingizi la sivyo utakuwa maskini, uwe macho nawe utakuwa na chakula cha akiba. 14“Haifai, haifai!” asema mnunuzi, kisha huondoka akijisifia ununuzi wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.