Mithali 20:13
Proverbs 20:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Usiupende usingizi la sivyo utakuwa maskini, uwe macho nawe utakuwa na chakula cha akiba.
Proverbs 20:13 in English
Proverbs 20:13 · Berean Standard Bible
Do not love sleep, or you will grow poor; open your eyes, and you will have plenty of food.
Context
11Hata mtoto hujulikana kwa matendo yake,
kama tabia yake ni safi na adili. 12Masikio yasikiayo na macho yaonayo,
Bwana ndiye alivifanya vyote viwili. 13Usiupende usingizi la sivyo utakuwa maskini,
uwe macho nawe utakuwa na chakula cha akiba. 14“Haifai, haifai!” asema mnunuzi,
kisha huondoka akijisifia ununuzi wake. 15Dhahabu kunayo, na marijani kwa wingi,
lakini midomo inenayo maarifa
ni kito cha thamani kilicho adimu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.