Mithali 20:11
Proverbs 20:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hata mtoto hujulikana kwa matendo yake, kama tabia yake ni safi na adili.
Proverbs 20:11 in English
Proverbs 20:11 · Berean Standard Bible
Even a young man is known by his actions— whether his conduct is pure and upright.
Context
9Ni nani awezaye kusema, “Nimeuweka moyo wangu safi;
mimi ni safi na sina dhambi?” 10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti,
Bwana huchukia vyote viwili. 11Hata mtoto hujulikana kwa matendo yake,
kama tabia yake ni safi na adili. 12Masikio yasikiayo na macho yaonayo,
Bwana ndiye alivifanya vyote viwili. 13Usiupende usingizi la sivyo utakuwa maskini,
uwe macho nawe utakuwa na chakula cha akiba.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.