Mithali 20:14
Proverbs 20:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
“Haifai, haifai!” asema mnunuzi, kisha huondoka akijisifia ununuzi wake.
Proverbs 20:14 in English
Proverbs 20:14 · Berean Standard Bible
“Worthless, worthless!” says the buyer, but on the way out, he gloats.
Context
12Masikio yasikiayo na macho yaonayo,
Bwana ndiye alivifanya vyote viwili. 13Usiupende usingizi la sivyo utakuwa maskini,
uwe macho nawe utakuwa na chakula cha akiba. 14“Haifai, haifai!” asema mnunuzi,
kisha huondoka akijisifia ununuzi wake. 15Dhahabu kunayo, na marijani kwa wingi,
lakini midomo inenayo maarifa
ni kito cha thamani kilicho adimu. 16Chukua vazi la yule awekaye dhamana
kwa ajili ya mgeni;
lishikilie iwe dhamana kama anafanya hivyo
kwa ajili ya mwanamke mpotovu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.