Mithali 20:8
Proverbs 20:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha enzi kuhukumu, hupepeta ubaya wote kwa macho yake.
Proverbs 20:8 in English
Proverbs 20:8 · Berean Standard Bible
A king who sits on a throne to judge sifts out all evil with his eyes.
Context
6Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma,
bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata? 7Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama,
wamebarikiwa watoto wake baada yake. 8Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha enzi kuhukumu,
hupepeta ubaya wote kwa macho yake. 9Ni nani awezaye kusema, “Nimeuweka moyo wangu safi;
mimi ni safi na sina dhambi?” 10Mawe ya kupimia yaliyo tofauti na vipimo tofauti,
Bwana huchukia vyote viwili.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.