Native Bible

Proverbs 20:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma, bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata?

Proverbs 20:6 in English

Proverbs 20:6 · Berean Standard Bible

Many a man proclaims his loving devotion, but who can find a trustworthy man?

Context

4Mvivu halimi kwa majira; kwa hiyo wakati wa mavuno hutazama lakini hapati chochote. 5Makusudi ya moyo wa mwanadamu ni maji yenye kina, lakini mtu mwenye ufahamu huyachota. 6Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma, bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata? 7Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama, wamebarikiwa watoto wake baada yake. 8Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha enzi kuhukumu, hupepeta ubaya wote kwa macho yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.