Native Bible

Proverbs 20:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Makusudi ya moyo wa mwanadamu ni maji yenye kina, lakini mtu mwenye ufahamu huyachota.

Proverbs 20:5 in English

Proverbs 20:5 · Berean Standard Bible

The intentions of a man’s heart are deep waters, but a man of understanding draws them out.

Context

3Ni kwa heshima ya mtu kujitenga ugomvi, bali kila mpumbavu ni mwepesi kugombana. 4Mvivu halimi kwa majira; kwa hiyo wakati wa mavuno hutazama lakini hapati chochote. 5Makusudi ya moyo wa mwanadamu ni maji yenye kina, lakini mtu mwenye ufahamu huyachota. 6Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma, bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata? 7Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama, wamebarikiwa watoto wake baada yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.