Native Bible

Proverbs 20:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama, wamebarikiwa watoto wake baada yake.

Proverbs 20:7 in English

Proverbs 20:7 · Berean Standard Bible

The righteous man walks with integrity; blessed are his children after him.

Context

5Makusudi ya moyo wa mwanadamu ni maji yenye kina, lakini mtu mwenye ufahamu huyachota. 6Watu wengi hujidai kuwa na upendo usiokoma, bali mtu mwaminifu ni nani awezaye kumpata? 7Mtu mwenye haki huishi maisha yasiyo na lawama, wamebarikiwa watoto wake baada yake. 8Wakati mfalme aketipo katika kiti chake cha enzi kuhukumu, hupepeta ubaya wote kwa macho yake. 9Ni nani awezaye kusema, “Nimeuweka moyo wangu safi; mimi ni safi na sina dhambi?”

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.