Native Bible

Proverbs 20:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Urithi upatikanao haraka mwanzoni, hautabarikiwa mwishoni.

Proverbs 20:21 in English

Proverbs 20:21 · Berean Standard Bible

An inheritance gained quickly will not be blessed in the end.

Context

19Maneno ya kusengenya husababisha kutokuaminika, kwa hiyo mwepuke mtu anayezungumza kupita kiasi. 20Ikiwa mtu atamlaani baba yake au mama yake, taa yake itazimwa katika giza nene. 21Urithi upatikanao haraka mwanzoni, hautabarikiwa mwishoni. 22Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” Mngojee Bwana, naye atakuokoa. 23Bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, nazo mizani zisizo halali hazimpendezi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.