Native Bible

Proverbs 20:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, nazo mizani zisizo halali hazimpendezi.

Proverbs 20:23 in English

Proverbs 20:23 · Berean Standard Bible

Unequal weights are detestable to the LORD, and dishonest scales are no good.

Context

21Urithi upatikanao haraka mwanzoni, hautabarikiwa mwishoni. 22Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” Mngojee Bwana, naye atakuokoa. 23Bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, nazo mizani zisizo halali hazimpendezi. 24Hatua za mtu huongozwa na Bwana. Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe? 25Ni mtego kwa mtu kuweka wakfu kitu kwa haraka na baada ya kitambo kidogo kufikiria tena nadhiri zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.