Mithali 20:24
Proverbs 20:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Hatua za mtu huongozwa na Bwana. Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe?
Proverbs 20:24 in English
Proverbs 20:24 · Berean Standard Bible
A man’s steps are from the LORD, so how can anyone understand his own way?
Context
22Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!”
Mngojee Bwana, naye atakuokoa. 23Bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu,
nazo mizani zisizo halali hazimpendezi. 24Hatua za mtu huongozwa na Bwana.
Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe? 25Ni mtego kwa mtu kuweka wakfu kitu kwa haraka
na baada ya kitambo kidogo kufikiria tena nadhiri zake. 26Mfalme mwenye hekima hupepeta waovu,
hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.