Native Bible

Proverbs 20:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mfalme mwenye hekima hupepeta waovu, hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao.

Proverbs 20:26 in English

Proverbs 20:26 · Berean Standard Bible

A wise king separates out the wicked and drives the threshing wheel over them.

Context

24Hatua za mtu huongozwa na Bwana. Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe? 25Ni mtego kwa mtu kuweka wakfu kitu kwa haraka na baada ya kitambo kidogo kufikiria tena nadhiri zake. 26Mfalme mwenye hekima hupepeta waovu, hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. 27Taa ya Bwana huchunguza roho ya mwanadamu, huchunguza utu wake wa ndani. 28Upendo na uaminifu humweka mfalme salama, kwa njia ya upendo, kiti chake cha enzi huwa salama.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.