Native Bible

Proverbs 20:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Taa ya Bwana huchunguza roho ya mwanadamu, huchunguza utu wake wa ndani.

Proverbs 20:27 in English

Proverbs 20:27 · Berean Standard Bible

The spirit * of a man is the lamp of the LORD, searching out his inmost being.

Context

25Ni mtego kwa mtu kuweka wakfu kitu kwa haraka na baada ya kitambo kidogo kufikiria tena nadhiri zake. 26Mfalme mwenye hekima hupepeta waovu, hulipitisha gurudumu la kupuria juu yao. 27Taa ya Bwana huchunguza roho ya mwanadamu, huchunguza utu wake wa ndani. 28Upendo na uaminifu humweka mfalme salama, kwa njia ya upendo, kiti chake cha enzi huwa salama. 29Utukufu wa vijana ni nguvu zao, mvi ni fahari ya uzee.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.