Native Bible

Proverbs 20:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” Mngojee Bwana, naye atakuokoa.

Proverbs 20:22 in English

Proverbs 20:22 · Berean Standard Bible

Do not say, “I will avenge this evil!” Wait on the LORD, and He will save you.

Context

20Ikiwa mtu atamlaani baba yake au mama yake, taa yake itazimwa katika giza nene. 21Urithi upatikanao haraka mwanzoni, hautabarikiwa mwishoni. 22Usiseme, “Nitakulipiza kwa ajili ya kosa hili!” Mngojee Bwana, naye atakuokoa. 23Bwana anachukia sana mawe ya kupimia ya udanganyifu, nazo mizani zisizo halali hazimpendezi. 24Hatua za mtu huongozwa na Bwana. Anawezaje basi mtu yeyote kuelewa njia yake mwenyewe?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.