Native Bible

Proverbs 20:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maneno ya kusengenya husababisha kutokuaminika, kwa hiyo mwepuke mtu anayezungumza kupita kiasi.

Proverbs 20:19 in English

Proverbs 20:19 · Berean Standard Bible

He who reveals secrets is a constant gossip; avoid the one who babbles * with his lips.

Context

17Chakula kilichopatikana kwa hila ni kitamu kwa mwanadamu, bali huishia na kinywa kilichojaa changarawe. 18Fanya mipango kwa kutafuta mashauri, ukipigana vita, tafuta maelekezo. 19Maneno ya kusengenya husababisha kutokuaminika, kwa hiyo mwepuke mtu anayezungumza kupita kiasi. 20Ikiwa mtu atamlaani baba yake au mama yake, taa yake itazimwa katika giza nene. 21Urithi upatikanao haraka mwanzoni, hautabarikiwa mwishoni.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.