Mithali 19:16
Proverbs 19:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye ambaye hutii mafundisho huulinda uhai wake, bali yeye anayezidharau njia zake atakufa.
Proverbs 19:16 in English
Proverbs 19:16 · Berean Standard Bible
He who keeps a commandment preserves his soul, but he who is careless in his ways will die.
Context
14Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi,
bali mke mwenye busara hutoka kwa Bwana. 15Uvivu huleta usingizi mzito,
naye mtu mzembe huona njaa. 16Yeye ambaye hutii mafundisho huulinda uhai wake,
bali yeye anayezidharau njia zake atakufa. 17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana,
naye atamtuza kwa aliyotenda. 18Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini,
usiwe mshirika katika mauti yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.