Native Bible

Proverbs 19:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, naye atamtuza kwa aliyotenda.

Proverbs 19:17 in English

Proverbs 19:17 · Berean Standard Bible

Kindness to the poor is a loan to the LORD, and He will repay the lender.

Context

15Uvivu huleta usingizi mzito, naye mtu mzembe huona njaa. 16Yeye ambaye hutii mafundisho huulinda uhai wake, bali yeye anayezidharau njia zake atakufa. 17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, naye atamtuza kwa aliyotenda. 18Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini, usiwe mshirika katika mauti yake. 19Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima atapata adhabu yake, kama utamwokoa, itakubidi kufanya hivyo tena.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.