Mithali 19:18
Proverbs 19:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini, usiwe mshirika katika mauti yake.
Proverbs 19:18 in English
Proverbs 19:18 · Berean Standard Bible
Discipline your son, for in that there is hope; do not be party to his death.
Context
16Yeye ambaye hutii mafundisho huulinda uhai wake,
bali yeye anayezidharau njia zake atakufa. 17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana,
naye atamtuza kwa aliyotenda. 18Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini,
usiwe mshirika katika mauti yake. 19Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima atapata adhabu yake,
kama utamwokoa, itakubidi kufanya hivyo tena. 20Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho,
nawe mwishoni utakuwa na hekima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.