Native Bible

Proverbs 19:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho, nawe mwishoni utakuwa na hekima.

Proverbs 19:20 in English

Proverbs 19:20 · Berean Standard Bible

Listen to counsel and accept discipline, that you may be wise the rest of your days.

Context

18Mrudi mwanao, kwa maana katika hiyo kuna tumaini, usiwe mshirika katika mauti yake. 19Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima atapata adhabu yake, kama utamwokoa, itakubidi kufanya hivyo tena. 20Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho, nawe mwishoni utakuwa na hekima. 21Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu, lakini kusudi la Bwana ndilo litakalosimama. 22Lile mtu alionealo shauku ni upendo usio na mwisho, afadhali kuwa maskini kuliko kuwa mwongo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.