Native Bible

Proverbs 19:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu, lakini kusudi la Bwana ndilo litakalosimama.

Proverbs 19:21 in English

Proverbs 19:21 · Berean Standard Bible

Many plans are in a man’s heart, but the purpose of the LORD will prevail.

Context

19Mtu mwenye kukasirika haraka ni lazima atapata adhabu yake, kama utamwokoa, itakubidi kufanya hivyo tena. 20Sikiliza mashauri na ukubali mafundisho, nawe mwishoni utakuwa na hekima. 21Kuna mipango mingi ndani ya moyo wa mtu, lakini kusudi la Bwana ndilo litakalosimama. 22Lile mtu alionealo shauku ni upendo usio na mwisho, afadhali kuwa maskini kuliko kuwa mwongo. 23Kumcha Bwana huongoza kwenye uzima, kisha mtu hupumzika akiwa ameridhika, bila kuguswa na shida.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.