Native Bible

Proverbs 19:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Uvivu huleta usingizi mzito, naye mtu mzembe huona njaa.

Proverbs 19:15 in English

Proverbs 19:15 · Berean Standard Bible

Laziness brings on deep sleep, and an idle soul will suffer hunger.

Context

13Mwana mpumbavu ni maangamizi ya babaye, naye mke mgomvi ni kama kutonatona kusikoisha. 14Nyumba na mali hurithiwa kutoka kwa wazazi, bali mke mwenye busara hutoka kwa Bwana. 15Uvivu huleta usingizi mzito, naye mtu mzembe huona njaa. 16Yeye ambaye hutii mafundisho huulinda uhai wake, bali yeye anayezidharau njia zake atakufa. 17Yeye amhurumiaye maskini humkopesha Bwana, naye atamtuza kwa aliyotenda.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.