Native Bible

Proverbs 18:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa.

Proverbs 18:11 in English

Proverbs 18:11 · Berean Standard Bible

A rich man’s wealth is his fortified city; it is like a high wall in his imagination.

Context

9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake ni ndugu na yule anayeharibu. 10Jina la Bwana ni ngome imara, wenye haki huikimbilia na kuwa salama. 11Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa. 12Kabla ya anguko moyo wa mtu hujaa kiburi, bali unyenyekevu hutangulia heshima. 13Yeye ajibuye kabla ya kusikiliza, huo ni upumbavu wake na aibu yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.