Mithali 18:10
Proverbs 18:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Jina la Bwana ni ngome imara, wenye haki huikimbilia na kuwa salama.
Proverbs 18:10 in English
Proverbs 18:10 · Berean Standard Bible
The name of the LORD is a strong tower; the righteous run to it * and are safe.
Context
8Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu;
huingia sehemu za ndani sana za mtu. 9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake
ni ndugu na yule anayeharibu. 10Jina la Bwana ni ngome imara,
wenye haki huikimbilia na kuwa salama. 11Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome,
wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa. 12Kabla ya anguko moyo wa mtu hujaa kiburi,
bali unyenyekevu hutangulia heshima.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.