Mithali 18:9
Proverbs 18:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu aliye mlegevu katika kazi yake ni ndugu na yule anayeharibu.
Proverbs 18:9 in English
Proverbs 18:9 · Berean Standard Bible
Whoever is slothful in his work is brother to him who destroys.
Context
7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake
na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. 8Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu;
huingia sehemu za ndani sana za mtu. 9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake
ni ndugu na yule anayeharibu. 10Jina la Bwana ni ngome imara,
wenye haki huikimbilia na kuwa salama. 11Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome,
wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.