Native Bible

Proverbs 18:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake.

Proverbs 18:7 in English

Proverbs 18:7 · Berean Standard Bible

A fool’s mouth is his ruin, and his lips are a snare to his soul.

Context

5Sio vizuri kumpendelea mtu mwovu, au kumnyima haki asiye na hatia. 6Midomo ya mpumbavu humletea ugomvi na kinywa chake hualika kipigo. 7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. 8Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu; huingia sehemu za ndani sana za mtu. 9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake ni ndugu na yule anayeharibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.