Mithali 18:6
Proverbs 18:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Midomo ya mpumbavu humletea ugomvi na kinywa chake hualika kipigo.
Proverbs 18:6 in English
Proverbs 18:6 · Berean Standard Bible
A fool’s lips bring him strife, and his mouth invites a beating.
Context
4Maneno ya kinywa cha mwanadamu ni kina cha maji,
bali chemchemi ya hekima ni kijito kinachobubujika. 5Sio vizuri kumpendelea mtu mwovu,
au kumnyima haki asiye na hatia. 6Midomo ya mpumbavu humletea ugomvi
na kinywa chake hualika kipigo. 7Kinywa cha mpumbavu ni uharibifu wake
na midomo yake ni mtego kwa nafsi yake. 8Maneno ya mchongezi ni kama chakula kitamu;
huingia sehemu za ndani sana za mtu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.