Mithali 18:4
Proverbs 18:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Maneno ya kinywa cha mwanadamu ni kina cha maji, bali chemchemi ya hekima ni kijito kinachobubujika.
Proverbs 18:4 in English
Proverbs 18:4 · Berean Standard Bible
The words of a man’s mouth are deep waters; the fountain of wisdom is a bubbling brook.
Context
2Mpumbavu hafurahii ufahamu,
bali hufurahia kutangaza
maoni yake mwenyewe. 3Wakati uovu unapokuja, dharau huja pia,
pamoja na aibu huja lawama. 4Maneno ya kinywa cha mwanadamu ni kina cha maji,
bali chemchemi ya hekima ni kijito kinachobubujika. 5Sio vizuri kumpendelea mtu mwovu,
au kumnyima haki asiye na hatia. 6Midomo ya mpumbavu humletea ugomvi
na kinywa chake hualika kipigo.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.