Native Bible

Proverbs 18:3 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wakati uovu unapokuja, dharau huja pia, pamoja na aibu huja lawama.

Proverbs 18:3 in English

Proverbs 18:3 · Berean Standard Bible

With a wicked man comes contempt as well, and shame is accompanied by disgrace.

Context

1Mtu ajitengaye na wengine hufuata matakwa yake mwenyewe; hupiga vita kila shauri jema. 2Mpumbavu hafurahii ufahamu, bali hufurahia kutangaza maoni yake mwenyewe. 3Wakati uovu unapokuja, dharau huja pia, pamoja na aibu huja lawama. 4Maneno ya kinywa cha mwanadamu ni kina cha maji, bali chemchemi ya hekima ni kijito kinachobubujika. 5Sio vizuri kumpendelea mtu mwovu, au kumnyima haki asiye na hatia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.