Native Bible

Proverbs 18:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kabla ya anguko moyo wa mtu hujaa kiburi, bali unyenyekevu hutangulia heshima.

Proverbs 18:12 in English

Proverbs 18:12 · Berean Standard Bible

Before his downfall a man’s heart is proud, but humility comes before honor.

Context

10Jina la Bwana ni ngome imara, wenye haki huikimbilia na kuwa salama. 11Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa. 12Kabla ya anguko moyo wa mtu hujaa kiburi, bali unyenyekevu hutangulia heshima. 13Yeye ajibuye kabla ya kusikiliza, huo ni upumbavu wake na aibu yake. 14Roho ya mtu itastahimili katika ugonjwa bali roho iliyovunjika ni nani awezaye kuistahimili?

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.