Native Bible

Proverbs 18:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye ajibuye kabla ya kusikiliza, huo ni upumbavu wake na aibu yake.

Proverbs 18:13 in English

Proverbs 18:13 · Berean Standard Bible

He who answers a matter before he hears it— this is folly and disgrace to him.

Context

11Mali ya tajiri ni mji wake wenye ngome, wanaudhania kuwa ukuta usioweza kurukwa. 12Kabla ya anguko moyo wa mtu hujaa kiburi, bali unyenyekevu hutangulia heshima. 13Yeye ajibuye kabla ya kusikiliza, huo ni upumbavu wake na aibu yake. 14Roho ya mtu itastahimili katika ugonjwa bali roho iliyovunjika ni nani awezaye kuistahimili? 15Moyo wa mwenye ufahamu hujipatia maarifa, masikio ya mwenye hekima huyatafuta maarifa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.