Native Bible

Proverbs 17:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa.

Proverbs 17:5 in English

Proverbs 17:5 · Berean Standard Bible

He who mocks the poor insults their Maker; whoever gloats over calamity will not go unpunished.

Context

3Kalibu ni kwa ajili ya fedha na tanuru ni kwa ajili ya dhahabu, bali Bwana huujaribu moyo. 4Mtu mwovu husikiliza midomo mibaya; mwongo husikiliza kwa makini ulimi wa madhara. 5Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa. 6Wana wa wana ni taji la wazee, nao wazazi ni fahari ya watoto wao. 7Midomo yenye uwezo wa ushawishi haimfai mpumbavu: je, ni mibaya kiasi gani zaidi midomo ya uongo kwa mtawala!

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.