Native Bible

Proverbs 17:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wana wa wana ni taji la wazee, nao wazazi ni fahari ya watoto wao.

Proverbs 17:6 in English

Proverbs 17:6 · Berean Standard Bible

Grandchildren are the crown of the aged, and the glory of a son is his father.

Context

4Mtu mwovu husikiliza midomo mibaya; mwongo husikiliza kwa makini ulimi wa madhara. 5Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa. 6Wana wa wana ni taji la wazee, nao wazazi ni fahari ya watoto wao. 7Midomo yenye uwezo wa ushawishi haimfai mpumbavu: je, ni mibaya kiasi gani zaidi midomo ya uongo kwa mtawala! 8Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; kokote kigeukiapo, hufanikiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.