Mithali 17:8
Proverbs 17:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; kokote kigeukiapo, hufanikiwa.
Proverbs 17:8 in English
Proverbs 17:8 · Berean Standard Bible
A bribe is a charm to its giver; wherever he turns, he succeeds.
Context
6Wana wa wana ni taji la wazee,
nao wazazi ni fahari ya watoto wao. 7Midomo yenye uwezo wa ushawishi haimfai mpumbavu:
je, ni mibaya kiasi gani zaidi midomo ya uongo kwa mtawala! 8Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho;
kokote kigeukiapo, hufanikiwa. 9Yeye anayesamehe kosa hudumisha upendo,
bali yeyote arudiaye jambo hutenganisha marafiki wa karibu. 10Karipio humwingia sana mtu mwenye kutambua
kuliko mapigo mia kwa mpumbavu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.