Native Bible

Proverbs 17:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Midomo yenye uwezo wa ushawishi haimfai mpumbavu: je, ni mibaya kiasi gani zaidi midomo ya uongo kwa mtawala!

Proverbs 17:7 in English

Proverbs 17:7 · Berean Standard Bible

Eloquent words are unfit for a fool; how much worse are lying lips to a ruler!

Context

5Yeye anaye mdhihaki maskini huonyesha dharau kwa Muumba wake; yeyote afurahiaye maafa hataepuka kuadhibiwa. 6Wana wa wana ni taji la wazee, nao wazazi ni fahari ya watoto wao. 7Midomo yenye uwezo wa ushawishi haimfai mpumbavu: je, ni mibaya kiasi gani zaidi midomo ya uongo kwa mtawala! 8Kipawa ni kama kito cha thamani machoni pake yeye aliye nacho; kokote kigeukiapo, hufanikiwa. 9Yeye anayesamehe kosa hudumisha upendo, bali yeyote arudiaye jambo hutenganisha marafiki wa karibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.