Mithali 17:25
Proverbs 17:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwana mpumbavu huleta huzuni kwa baba yake na uchungu kwa yeye aliyemzaa.
Proverbs 17:25 in English
Proverbs 17:25 · Berean Standard Bible
A foolish son brings grief to his father and bitterness to her who bore him.
Context
23Mtu mwovu hukubali rushwa kwa siri
ili kupotosha njia ya haki. 24Mtu wa ufahamu huitazama hekima,
lakini macho ya mpumbavu huhangaika
hadi kwenye miisho ya dunia. 25Mwana mpumbavu huleta huzuni kwa baba yake
na uchungu kwa yeye aliyemzaa. 26Si vizuri kumwadhibu mtu asiye na hatia,
au kuwapiga sana maafisa kwa ajili ya uadilifu wao. 27Mtu mwenye maarifa hutumia maneno kwa kujizuia,
naye mtu mwenye ufahamu ana moyo wa utulivu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.