Mithali 17:23
Proverbs 17:23 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu mwovu hukubali rushwa kwa siri ili kupotosha njia ya haki.
Proverbs 17:23 in English
Proverbs 17:23 · Berean Standard Bible
A wicked man takes a covert bribe * to subvert the course of justice.
Context
21Kuwa na mwana mpumbavu huleta huzuni;
hakuna furaha kwa baba wa mpumbavu. 22Moyo wenye furaha ni dawa nzuri,
bali roho iliyopondeka hukausha mifupa. 23Mtu mwovu hukubali rushwa kwa siri
ili kupotosha njia ya haki. 24Mtu wa ufahamu huitazama hekima,
lakini macho ya mpumbavu huhangaika
hadi kwenye miisho ya dunia. 25Mwana mpumbavu huleta huzuni kwa baba yake
na uchungu kwa yeye aliyemzaa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.