Native Bible

Proverbs 17:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Moyo wenye furaha ni dawa nzuri, bali roho iliyopondeka hukausha mifupa.

Proverbs 17:22 in English

Proverbs 17:22 · Berean Standard Bible

A joyful heart is good medicine, but a broken spirit dries up the bones.

Context

20Mtu mwenye moyo mpotovu hawezi kufanikiwa; naye ambaye ulimi wake ni mdanganyifu huanguka kwenye taabu. 21Kuwa na mwana mpumbavu huleta huzuni; hakuna furaha kwa baba wa mpumbavu. 22Moyo wenye furaha ni dawa nzuri, bali roho iliyopondeka hukausha mifupa. 23Mtu mwovu hukubali rushwa kwa siri ili kupotosha njia ya haki. 24Mtu wa ufahamu huitazama hekima, lakini macho ya mpumbavu huhangaika hadi kwenye miisho ya dunia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.