Native Bible

Proverbs 17:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu wa ufahamu huitazama hekima, lakini macho ya mpumbavu huhangaika hadi kwenye miisho ya dunia.

Proverbs 17:24 in English

Proverbs 17:24 · Berean Standard Bible

Wisdom is the focus of the discerning, but the eyes of a fool wander to the ends of the earth.

Context

22Moyo wenye furaha ni dawa nzuri, bali roho iliyopondeka hukausha mifupa. 23Mtu mwovu hukubali rushwa kwa siri ili kupotosha njia ya haki. 24Mtu wa ufahamu huitazama hekima, lakini macho ya mpumbavu huhangaika hadi kwenye miisho ya dunia. 25Mwana mpumbavu huleta huzuni kwa baba yake na uchungu kwa yeye aliyemzaa. 26Si vizuri kumwadhibu mtu asiye na hatia, au kuwapiga sana maafisa kwa ajili ya uadilifu wao.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.