Native Bible

Proverbs 17:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye maarifa hutumia maneno kwa kujizuia, naye mtu mwenye ufahamu ana moyo wa utulivu.

Proverbs 17:27 in English

Proverbs 17:27 · Berean Standard Bible

A man of knowledge restrains his words, and a man of understanding maintains a calm spirit.

Context

25Mwana mpumbavu huleta huzuni kwa baba yake na uchungu kwa yeye aliyemzaa. 26Si vizuri kumwadhibu mtu asiye na hatia, au kuwapiga sana maafisa kwa ajili ya uadilifu wao. 27Mtu mwenye maarifa hutumia maneno kwa kujizuia, naye mtu mwenye ufahamu ana moyo wa utulivu. 28Hata mtu mpumbavu hudhaniwa kuwa na hekima kama akinyamaza, na mwenye ufahamu kama akiuzuia ulimi wake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.